MUNGU NI UPENDO.
Mpendwa,Mungu wetu ana upendo wa dhati kwetu sisi wanadamu.upendo huu
anaotuonesha ni mkuu sana hauna mfano, YOHANA 3:14-16, Hivyo basis tunaalikwa kwa pamoja kuonesha upendo ule ule wa kristo aliotuonesha mpaka kufa msalabani.Ona na tazama wahitaji ni wengi wanaohitaji msaada wa sala,maombi,malazi,kuwasitiri,chakula n.k. hivyo basi tushirikiane kwa pamoja popote dunia kuwasaidia watu hawa wahitaji.yamkini sio ndg wa kuzaliwa nae lakini yatupasa kufanya hivo.kumbuka mfano wa msamaria aliyemkutuma myaudi aliyeangukia ameangukia ktk mikono ya wanyang'anyi alimsaidia pasipo kumfahamu.Watu wengi wa dunia hii wanasaidia tu wale wanaofahamiana nao hata kama wanacho wanawasahau wahitaji kweli kweli kama wazee,wajane na pia yatima YAKOBO 1:26-27.
0 comments:
Post a Comment